Proverbs 29:12-13


12 aKama mtawala akisikiliza uongo,
maafisa wake wote huwa waovu.


13 bMtu maskini na mtu anayeonea wanafanana kwa jambo hili:
Bwana hutia nuru macho yao wote wawili.

Copyright information for SwhKC